Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia) akizungumza na Balozi wa Netherland nchini Tanzania Jeroen Verheul (kushoto) leo jijini Dar es salaam kuhusu utayari wa Tanzania kupokea watalii kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Netherland wakati huu wa janga la Corona.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Netherland nchini Tanzania Jeroen Verheul (kushoto mara baada ya kumalizika kwa kikao cha mazungumzo kuhusu utayari wa Tanzania kupokea watalii kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Netherland wakati huu wa janga la Corona ) leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akifanya mahojiano maalum na Bw. Daniel Kijo, mtangazaji na mwakilishi wa wa vituo mbalimbali vya Televisheni vya Kimataifa vikiwemo CGTN, SABC NEWS,DW, ALJAZEERA na ITN leo jijini Dar es salaam kuelezea mikakati na utayari wa Tanzania kupokea watalii kutoka katika mataifa mbalimbali wakati huu wa janga la Corona.
PICHA/Aron Msigwa – WMU.