(Mgombea nafasi ya kuteuliliwa Urais wa Zanzibar) Balozi Mohammed Hija Mohammed (kulia) akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Zanzibar, Katibu wa Kamati Maalumu ya Idara ya Oganaizesheni ya CCM Zanzibar, Cassian Gallos Nyimbo, wakati aliporudisha fomu hiyo katika Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Unguja,leo. (Picha na Muhidin Sufiani)
Nyaraka zikipitiwa kabla yamakabidhiano…..
Ni kama anasema nawashuruni jamani……
Akitoka kukabidhi fomu….
(Mgombea nafasi ya kuteuliliwa Urais wa Zanzibar) Balozi Mohammed Hija Mohammed (katikati) akisalimiana na Kada wa Chama cha Mapinduzi nje ya Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Unguja baada ya kurudisha fomu za kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Zanzibar, leo asubuhi.