Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa (katikati) baada ya kumalizika kwa sherehe za kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar leo katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/06/2020.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid alipokuwa akimkabidhi zawadi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein mara baada ya kutoa hutuba yake ya kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar katika sherehe zilizofanyika leo katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/06/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakibadilishana mawazo mara baada ya kutoa hutuba yake ya kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar, leo katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/06/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiagana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid pamoja na Viongozi mbali mbali baada ya kumalizika kwa sherehe za kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar,katika Ukumbi wa Baraza hilo leo Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/06/2020.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa (kushoto) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Job Ndugai na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu (kulia) wakimuangalia kwa pamoja Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar,katika sherehe zilizofanyika leo katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/06/2020.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 20/06/2020.