Home Mchanganyiko UVUNJAJI WA BARAZA LA 9 LA WAWAKILISHI ZANZIBAR-CHUKWANI

UVUNJAJI WA BARAZA LA 9 LA WAWAKILISHI ZANZIBAR-CHUKWANI

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa kitoa hutuba yake ya kulivunja Baraza la 9 la wawakilishi la Zanzibar katika sherehe zilizofanyika leo Chukwani Nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu.] 20/06/2020. 

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) akiwa Mgeni rasmi katika Sherehe za kulivunja Baraza la 9 la Wawawakilishi zilizofanyika leo Chukwani Nje ya Mji wa Zanzibar. [Picha na Ikulu.] 20/06/2020.

Kikosi cha Polisi F.F.U wakitoa salamu ya Heshma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Gwaride maalum  wakati wa sherehe za kulivunja Baraza 9 la Wawakilishi la Zanzibar zilizofanyika leo Chukuwani Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu.] 20/06/2020.

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) akiwa Mgeni rasmi katika Sherehe za kulivunja Baraza la 9 la Wawawakilishi zilizofanyika leo Chukwani Nje ya Mji wa Zanzibar. [Picha na Ikulu.] 20/06/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein mara baada ya kuingia  katika Ukumbi wa Baraza la wawakilishi- Chukwani Nje ya Mji wa Zanzibar  kwa ajili ya shuhuli za kulivunja baraza la 9  la Wawakilishi sherehe zilizofanyika leo.[Picha na Ikulu.] 20/06/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akikagua  Gwaride maalum la  Kikosi cha Polisi F.F.U   mara baada ya kutoa salamu ya Heshma wakati wa sherehe za kulivunja Baraza 9 la Wawakilishi la Zanzibar zilizofanyika leo Chukuwani Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu.] 20/06/2020