Home Mchanganyiko RAIS MAGUFULI AVUNJA RASMI  SHUGHULI ZA BUNGE

RAIS MAGUFULI AVUNJA RASMI  SHUGHULI ZA BUNGE

0

Na. Alex Sonna, Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli avunja rasmi shughuli za bunge kwa mujibu  wa katiba na sheria .

Kauli hiyo ameitoa leo jijini Dodoma wakati wa kulihutubia bunge .

Aidha amewataka wabunge kutumia lugha moja katika kampeni zao na so lugha za matusi.

Bunge limevunjwa leo mpaka hapo uchaguzi mkuu utakapo fanyika mwezi Oktoba na badae kutangaza tarehe rasmi ya bunge kuendelea na shughuli zake.