Na. Alex Sonna, Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli avunja rasmi shughuli za bunge kwa mujibu wa katiba na sheria .
Kauli hiyo ameitoa leo jijini Dodoma wakati wa kulihutubia bunge .
Aidha amewataka wabunge kutumia lugha moja katika kampeni zao na so lugha za matusi.
Bunge limevunjwa leo mpaka hapo uchaguzi mkuu utakapo fanyika mwezi Oktoba na badae kutangaza tarehe rasmi ya bunge kuendelea na shughuli zake.