Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Bunge kabla ya kulivunja Bunge la 11 Jijini Dodoma. Kulia ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
Mawaziri, Manaibu Waziri wakifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo kwenye picha) wakati akivunja Bunge la 11 Jijini Dodoma.
Marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia hotuba ya kuvunjwa kwa Bunge la 11 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo kwenye picha) Jijini Dodoma. Kuanzia Kulia ni Rais wa awamu wa pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Rais wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa, Rais wa awamu ya nne, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika awamu ya nne, Mhe. Dkt. Ghalib Mohamed Bilal
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (watano kushoto) katika picha ya pamoja na Rais wa Zanzibar, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Waziri Mkuu, Jaji Mkuu na Marais wastaafu. Wa pili kushoto ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa pili kulia)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe (watatu) Magufuli akiongozana na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili) baada ya kuhutubia na kulivunja Bunge la 11 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (katikati) katika picha ya pamoja na Rais wa Zanzibar, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Waziri Mkuu, Jaji Mkuu, Marais wastaafu, Wenyeviti wa Bunge pamoja na Waheshimiwa Wabunge ya kulivunja Bunge la 11 Jijini Dodoma. Kulia kwake ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na wapili kulia ni Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge Job Ndugai mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Bunge kwa ajili ya kuhutubia na kulifunga Bunge la 11 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Spika wa Bunge Job Ndugai mara baada ya kulihutubia Bunge la 11 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshikana mikono na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete mara baada ya kulihutubia Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo tarehe 16 June 2020