Home Uncategorized MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMESHIRIKI KUHUITIMISHWA BUNGE LA 11...

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMESHIRIKI KUHUITIMISHWA BUNGE LA 11 DODOMA

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Juni 16,2020 ameshiriki Shughuli  ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhitimisha Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bungeni Jijini Dodoma.