RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania ukiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo (kulia kwa Rais) Jaji Mstaaf. Mathew Paua Mhina, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, hafla hiyo imefanyika leo 9/6/2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania Jaji Mstaf Mathew Paua Mhina. (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 9/6/2020, akiwa na Ujumbe wake wa Makamishna wa Tume hiyo.(Picha na Ikulu )