***********************************
“Nimetoa oda ya box milioni 1 za dawa ya Corona kutoka Madagscar kwa ajili ya kuwapatia wananchi wangu Urusi” Vladmir Putin Rais wa Urusi.
NOTE: Licha ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kuipinga vikali dawa ya MITISHAMBA ijayojulikana kwa jina la Covid-organics inayotibu na kukinga Corona baadhi ya Mataifa yameendelea kuitambua dawa hiyo.
Mataifa kadhaa ikiwemo Guinea Bissau na Tanzania tayari yameagiza na kuanza kuitumia dawa hiyo. Mataifa mengine kama Rwanda, Afrika Kusini, DRC Congo na Senegal yamesema yataagiza dawa hiyo siku za usoni.
Urusi inakuwa Taifa la kwanza barani Ulaya kutangaza hadharani kuagiza dawa hizo kutoka Madagascar.
Hayo yanajiri siku chache tu baada ya Rais wa Urusi kuomba msaada wa vifaa tiba vya kupambana na Corona Virus kutoka Marekani.
Baada ya corona kuizidia Urusi imeomba msaada wa vifaa tiba kwa Marekani ambapo Waziri wake wa mambo ya nje Sergei Ryabkov amesema Wagonjwa wameongezeka kwa kasi jambo linalopelekea Urusi kushindwa kuhimili ongezeko hilo kutokana na uhaba wa vifaa tiba ikiwemo ventilators.
•
Waziri wa mambo ya nje ya Marekani Mike Pompeo amesema Nchi yake tayari imepeleka ventilators na vifaa kadhaa vya upimaji kwa taifa hilo la Urusi ambalo hadi sasa lina Wagonjwa zaidi ya 290,000 huku vifo vikiwa ni zaidi ya 2,722.
•
Kwa sasa Urusi ndio inashika nafasi ya pili duniani kwa kuwa na Wagonjwa wengi zaidi wa covid-19 huku namba 1 ikishikwa na Marekani yenye Wagonjwa wanaopindukia 1,500,000 na vifo 91,600. (@dw_kiswahili )
Hadi sasa Madagascar imeripoti kifo kimoja pekee hii ikichagizwa sana matumizi ya dawa hii ya MITISHAMBA inayotokana na mmea tiba aina ya Artemisia.
Je huu ni mwanzo wa mabeberu kuikubali Afrika na tiba zake hadharani?
Nini maoni yako?