Wachezaji wa Yanga wakiwa kwenye duka la vifaa vya michezo la mdhamini wao, GSM lililopo Mlimani City Jijini Dar es Salaam, ambako walitembelea asubuhi ya leo na kupewa vifaa vya kuwasaidia kufanyia mazoezi nyumbani kipindi hiki klabu yao imesitisha mazoezi ya pamoja kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19