“Ili kupunguza msongamano TRA inawahimiza walipakodi na wadau wengine kutumia njia mbadala za mawasiliano ikiwa ni pamoja na kupiga simu bure (0800-750075 au 0800-780078) kutuma ujumbe Whatsap (0744-233 333) au barua pepe ([email protected]) na tovuti yetu (www.tra.go.tz) ili kupata baadhi ya huduma zetu,”- Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).