Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (Wapili kulia) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi bilioni 2 leo kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh Ummy Mwalimu (Wa nne toka kulia), ili kusaidia juhudi za serikali katika kupambana na ugonjwa wa COVID-19 (Corona). Wengine ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Tanzania PLC, Magreth Ikongo ( Watatu kulia),Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania PLC na Vodacom Foundation, Rosalynn Mworia (Wa pili kushoto) na Meneja wa Mawasiliano wa Vodacom, Alex Bitekeye .
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (kulia) akizungumza wakati wa makabidhiano ya hundi yenye thamani ya Shilingi bilioni 2 leo kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh Ummy Mwalimu (Wa tatu toka kushoto). Wengine ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Tanzania PLC, Magreth Ikongo ( Wapili kulia),Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania PLC na Vodacom Foundation, , Rosalynn Mworia (Wa pili kushoto) na Meneja wa Mawasiliano wa Vodacom, Alex Bitekeye .