Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas, akiteta jambo na Mzee Abdul mkazi wa Kijiji cha Ndondo wilayani Nyasa mkoani Ruvuma wakati akiendelea na Operesheni ya ukaguzi wa mpaka kati ya Tanzania na Msumbiji.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas, akiwa na Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi SACP Mihayo Msikhela pamoja na maofisa, wakaguzi na askari wakikagua njia inayotumiwa na wananchi wa Msumbiji kuingia Nchini bila yakuwa na vibali maalum.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas, akiwa na Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi SACP Mihayo Msikhela pamoja na Maofisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kwaajili ya kukagua moja ya kipenyo kisicho rasmi cha mto Chiwindi wilayani Nyasa mkoani Ruvuma kinachounganisha Tanzania na
Msumbiji.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas wa pili kutoka kulia na wa watu toka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mheshimiwa Godfrey Wetson Zambi, wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Jeshi la Polisi baada ya kumalizika kikao mapema jana.(Picha na Jeshi la Polisi)