Home Mchanganyiko Wafanyakazi Wanawake wa TBL Mbeya walivyoadhimisha Siku ya Wanawake Duniani

Wafanyakazi Wanawake wa TBL Mbeya walivyoadhimisha Siku ya Wanawake Duniani

0

Wafanyakazi Wanawake wa kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL), kutoka kiwanda cha Mbeya, mwaka huu kama ilivyo miaka yote ya nyuma hawakubaki nyuma katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.

Kupitia jukwaa lao la TBL Women’s Forum walipata fursa ya kukutana na kubadlishana mawazo kuhusu changamoto zinazowakabili  sambamba na kuweka mikakati ya kukabiliana nazo sambamba na kuweka mikakati ya kujikwamua kiuchumi ili wazidi kusonga mbele.Pia walipata fursa ya kufurahi pamoja katika tafrija iliyofanyika kiwandani hapo.
Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano wa TBL, Georgia Mutagahywa,akiongea katika maadhimisho hayo yaliyofanyika kwenye kiwanda cha TBL mkoani Mbeya.

Baadhi ya Wafanyakazi Wanawake wa TBL wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika hafla iliyofanyika katika kiwanda cha Mbeya