Home Mchanganyiko RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA TAASISI YA MWANAHARAKATI SITI BINT SAAD

RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA TAASISI YA MWANAHARAKATI SITI BINT SAAD

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Bint. Saad, Bi. Nasra Mohammed Hilal, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu  Jijini Zanzibar na kumkabidhi Kadi  ya Uanachama No.1 na Picha ya Siti Bint Saad, hafla hiyo imefanyika leo 10-3-2020, katika ukumbi wa Ikulu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa picha ya Siti Binti Saad, “ikimoonesha Bi. Siti Bint Saad na Bwa. Ali Muhsin, aliyemuibua katika fani ya  uimbaji ” akikabidhi Katibu wa Taasisi hiyo Dkt. Mohammed Omar na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Bint Saad.Bi.Nasra Mohammed Hilal, hafla hiyo imefanyika leo 10-3-2020,Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanaharakati Bi. Siti Bint Saad. Bi. Nasra Mohammed Hilal, alipofika kwa mazungumzo Ikulu Jijini Zanzibar leo.10-3-2020.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Ujumbe wa Uongozi wa Taasisi ya Siti Bint Saad wakiwa nje ya ukumbi wakibadilishana mwazo baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo,10-3-2020.(Picha na Ikulu)