RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Bint. Saad, Bi. Nasra Mohammed Hilal, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na kumkabidhi Kadi ya Uanachama No.1 na Picha ya Siti Bint Saad, hafla hiyo imefanyika leo 10-3-2020, katika ukumbi wa Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa picha ya Siti Binti Saad, “ikimoonesha Bi. Siti Bint Saad na Bwa. Ali Muhsin, aliyemuibua katika fani ya uimbaji ” akikabidhi Katibu wa Taasisi hiyo Dkt. Mohammed Omar na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Bint Saad.Bi.Nasra Mohammed Hilal, hafla hiyo imefanyika leo 10-3-2020,Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanaharakati Bi. Siti Bint Saad. Bi. Nasra Mohammed Hilal, alipofika kwa mazungumzo Ikulu Jijini Zanzibar leo.10-3-2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Ujumbe wa Uongozi wa Taasisi ya Siti Bint Saad wakiwa nje ya ukumbi wakibadilishana mwazo baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo,10-3-2020.(Picha na Ikulu)