Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Bw. Alban Mark Kihulla (wa kwanza kutoka kulia) na viongozi wengine mbalimbali wakiomba dua walipomtembekea na kumfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nyumbani kwako Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, kufuatia kifo cha mume wake, marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan kilichotokea Septemba 7, 2026
ALBAN KIHULLA NA VIONGOZI MBALIMBALI WAMFARIJI RAIS SAMIA
By fullshangwe
September 10, 2026 | 8:25 pm

Related Stories
View all
Mchanganyiko
23 minutes ago
OLE MREFU : TUNA IMANI KUBWA NA SHIGELA
Na Mwandishi wetu, Simanjiro MWENYEKITI wa chama cha Wafanyabiashara wa madini Mkoa wa Manyara, Mokia Ole Mrefu, amesema wadau wa madini wa eneo hilo…
Mchanganyiko
3 hours ago
USHIRIKIANO NI MUHIMU KATIKA MAGEUZI YA KIDIJITALI: KITALI
OWM-TAMISEMI, Arusha Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Bw. Erick Kitali, amesema…