Home Biashara TBS YAHIMIZA WANANCHI WA MANISPAA YA MPANDA KUZINGATIA UNUNUZI WA BIDHAA ZENYE...

TBS YAHIMIZA WANANCHI WA MANISPAA YA MPANDA KUZINGATIA UNUNUZI WA BIDHAA ZENYE UBORA

0

Bw. Ernest Simon (TBS) akiwahamasisha wafanyabiashara wa soko la Mpanda Hoteli katika Manispaa ya Mpanda kusajili maduka ya vipodozi, vyakula, maghala, migahawa, mabucha , mahoteli kupitia mfumo unaopatikana kwente tovuti www.tbs.go.tz.

********************

TBS yawahimiza wananchi wa kijiji cha Mbugani, kata ya Kakese, Manispaa ya Mpanda kuzingatia ununuzi wa bidhaa zenye ubora ili kuepuka hasara na athari za kiafya. Vilevile walikumbushwa kusoma taarifa mbalimbali zinazopatikana kwenye vifungashio za bidhaa ikiwamo muda wa kuisha matumizi.