Home Mchanganyiko MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MKOANI SIMIYU

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MKOANI SIMIYU

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa Kwenye Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri Bariadi Mkoani simiyu leo March 08,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais )

Askari Polisi wa Kike wakiwa na Furaha Kwenye Maandamano ya  siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri Bariadi Mkoani simiyu leo March 08,2020.

Wananchi Wanawake Mkoani Simiyu wakiwa kwenye Maandamano ya kusherehekea Maadhimisho ya  siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri Bariadi Mkoani simiyu leo March 08,2020.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Maandamano kwenye Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri Bariadi Mkoani simiyu leo March 08,2020.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia moja ya aina ya bidhaa ya kitenge alipotembelea Banda la Benki ya Posta Tanzania TPB Tawi la Simiyu kwenye maonesho ya kilele cha siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri Bariadi Mkoani simiyu leo March 08,2020.