Home Uncategorized MAJALIWA AAGIZA SHUGHULI ZA UCHAMBA ZISITISHWE KWENYE MACHIMBO YA MAGAMBA LUSHOTO

MAJALIWA AAGIZA SHUGHULI ZA UCHAMBA ZISITISHWE KWENYE MACHIMBO YA MAGAMBA LUSHOTO

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo la machimbo ya madini ya Boxite la Magamba wilayani Lushoto, Machi 5, 2020. Wa pili kulia ni Waziri wa Madini, Doto Biteko, wanne kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela. Aliagiza kusitishwa kwa shughuli za uchambaji katika machimbo hayo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi katika uwanja wa Shule ya Msingi ya Mabughani wilayani Lushoto, Machi 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)