Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA NIGERIA IKULU JIJINI...

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA NIGERIA IKULU JIJINI ZANZIBAR

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Nchini Nigeria,  walipofika Ikulu Jijini Zanzibar wakiongozana na Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania Mhe.Dkt.Sahabi Isa Gada (katikati) kuonana na Rais na  kufanya mazungumzo leo 5/3/2020

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozo wa Nigeria Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Sahabi Isa Gada (kulia kwa Rais) akiwa na  Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Nchini Nigeria , mazungumzo hayo yamefanyika  katika ukumbi wa Ikulu  Jijini Zanzibar leo. 5/3/2020.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mgeni wake Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania.Mhe.Dkt. Sahabi Isa Gada, wakitoka katika ukumbi wa  baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar leo,5/3/2020

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mgeni wake Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Sahabi Isa Gada, wakibadilishana mawazo baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Nchini Nigeria aliofuatana nao.(Picha na Ikulu)