Home Mchanganyiko RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA RAIS IKULU.3-3-2020

RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA RAIS IKULU.3-3-2020

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi  na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu.(Picha na Ikulu) leo.3-3-2020

BAADHI  ya Wakuu wa Idara mbalimbali za Ofisi ya Rais Ikulu wakifuatilia kikao hicho cha kuwasilisha  taarifa ya utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, kikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani)   katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) 3-3-2020.

KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi .Ndg. Salum Maulid, akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji ya Mpango  Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020,(kushoto) Naibu Katibu Mkuu Ndg, Salum Kassim Ali na Naibu Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi. Ndg Salmin Amour Abdaalla. Wakifuatilia taarifa hiyo wakati ikiwasailishwa.(Picha na Ikulu)

NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Barazac la Mapinduzi.Ndg. Salum Kassim Ali akijibu swali wakati wa mkutano huo wa kuwailisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu  Jijini Zanzibar. (kulia) Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ndg. Salum Maulid.(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Maofisa wa Idara mbalimbali Ofisi ya Rais Ikulu wakifuatilia mkutano huo wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Ofisi hiyo kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, wakati ikiwasilishwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Ndg. Salum Maulid.(hayupo pichani) kikao kilichofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

MKURUGENZI  Mipango Sera na Utafiti Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Ndg Mwadini Haji akijibu swali wakati wa mkutano huo wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. Ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) [Picha na Ikulu)

KATIBU wa Rais Ndg. Haroub Shaib Mussa akijibu swali lililoulizwa wakati wa kuwasilishwa kwa taarifa ya Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020,katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.( hayupo pichani) (Picha na Ikulu) 

MKURUGENZI Idara ya Uendeshaji na Utumishi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Makame Juma Ha akijibu swali wakati wa kuwasilisha kwa taarifa ya utekelezaji wa Mpango Kazi  wa Ofisi ya Rais kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu