Home Mchanganyiko Dk.Shein amezungumza na Balozi Mdogo wa China.

Dk.Shein amezungumza na Balozi Mdogo wa China.

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake  Balozi Mdogo wa China anaefanyia kazi zake Zanzibar  Bw. Xie Xiaowu wakati  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa  ajili ya kusalimiana,[Picha na Ikulu].03/03/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (kulia) akifuatana na  mgeni wake  Balozi Mdogo wa China anaefanyia kazi zake hapa Zanzibar Bw. Xie Xiaowu baada ya mazungumzo yao  leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar ,[Picha na Ikulu].03/03/2020.