Home Mchanganyiko MAJALIWA AVUTIWA NA UBUNIFU WA MKUU WA WILAYA YA HANDENI

MAJALIWA AVUTIWA NA UBUNIFU WA MKUU WA WILAYA YA HANDENI

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefurahishwa na ubunifu wa Mkuu wa wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe wa kupanda mhogo kwenye eneo lote linalozunguka makazi yake  badala ya kupanda maua na nyasi. Alisema ubunifu huo licha ya kumpatia mboga za majani na mhogo wa kula, ziada atauza  na kujipatia fedha. Pichani, Mheshimiwa Majaliwa akitazama mhogo huo, Machi 3, 2020. Wa pili Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigela na kulia ni Mkuu huyo wa wilaya. (Picha na Ofisi ya Waziri ya Waziri Mkuu)