Home Michezo Sadallah Lipangile awa mchezaji bora wa mwezi Februari Ligi Kuu ya Vodacom...

Sadallah Lipangile awa mchezaji bora wa mwezi Februari Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania

0

Mkuu wa Mauzo wa kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Tanzania PLC, George Venant   (kushoto) akimkabidhi  Mchezaji wa timu ya KMC   Sadallah Lipangile   mfano wa Hundi  yenye thamani  ya Shilingi Milioni 1/=   baada ya kuibuka mchezaji bora wa mwezi  Februari  wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara  wakati wa mchezo  wa ligi kati ya KMC na Simba uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi, Simba ilishinda mabao 2-0. Katikati ni kiongozi msimamizi wa Vodacom (team leader), Felician  Benedict.