Mkuu wa Mauzo wa kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Tanzania PLC, George Venant (kushoto) akimkabidhi Mchezaji wa timu ya KMC Sadallah Lipangile mfano wa Hundi yenye thamani ya Shilingi Milioni 1/= baada ya kuibuka mchezaji bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara wakati wa mchezo wa ligi kati ya KMC na Simba uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi, Simba ilishinda mabao 2-0. Katikati ni kiongozi msimamizi wa Vodacom (team leader), Felician Benedict.