Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Nd,Yakout Hassan Yakout,[Picha na Ikulu].03/03/2020.
Viongozi katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakifuatilia kwa makini kikao cha Uongozi wa Wizara hiyo cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu] 03/3/2020.
Wakuu wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 03/3/2020.