Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia kwake ) na viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao cha kujadili maendeleo ya michezo nchini kilichofanyika kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam, Februari 25, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)