Lionel Messi akishangila kibabe baada ya kufunga mabao manne dakika za 14, 37, 40 na 87 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Eibar kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Camp Nou, bao lingine likifungwa Arthur dakika ya 89. Kwa ushindi huo, kikosi cha Quique Setien kinafikisha pointi 55 katika mchezo wa 23 na kurejea kileleni mwa La Liga, sasa kikiwazidi pointi mbili mahasimu, Real Madrid ambao usiku huu wanacheza mechi yao ya 23 pia dhidi ya Levante PICHA ZAIDI SOMA HAPA
MESSI APIGA NNE BARCELONA YAICHAPA 5-0 EIBAR LA LIGA
By Alex Sonna
February 23, 2020 | 5:11 am

Related Stories
View all
Michezo
18 hours ago
MAELFU YA WATANZANIA WAMPOKEA JIHAN DIMACK MISS GRAND INTERNATIONAL 2026
Maelfu ya Watanzania wamejitokeza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, kumpokea mshindi wa taji la Miss Grand…
Michezo
3 days ago
YAS YASHIRIKI TANZANIA-CHINA NYERERE RUN KUMUENZI BABA WA TAIFA
Kampuni ya mawasiliano ya Yas imeungana na washiriki wengine katika mbio za kwanza za Tanzania-China Nyerere Run 2026 kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius…
