Home Mchanganyiko RAIS DKT.SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA SADC,MADINAT AL BAHR MBWENI

RAIS DKT.SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA SADC,MADINAT AL BAHR MBWENI

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena lawrence Tax (kushoto) na Waziri wa Nchi ofisi ya Makamo wa Rais,Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Jenista Joakim Mhagama (kulia) mara alipowasili katika Hotel Madinat Al Bahr,Mbweni Nje ya Mji wa Zanzibar kufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC leo

Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena lawrence Tax (kushoto) alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa Mawaziri wa SADC kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuufungua mkutano huo leo,katika Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC leo katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Hassan Khatib Hassan (katikati),

Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa Mawaziri wa SADC wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano huo uliofanyika katika  ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar

Baadhi ya Vioongozi mbali walioalikwa katika  Mkutano wa Mawaziri wa SADC wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano huo uliofanyika katika  ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC leo katika Mkutano wa Mawaziri wa SADC iliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar

Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa Mawaziri wa SADC wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano huo uliofanyika katika  ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC leo katika Mkutano wa Mawaziri wa SADC iliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar

Miongoni mwa Wajumbe wa Mkutano wa Mawaziri wa SADC wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano huo uliofanyika katika  ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar leo, [Picha na Ikulu