Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wakwanza kushoto), akikagua Jengo la Zimamoto na Uokoaji lililopo Mchicha, akiwa pamoja na Maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, alipofanya Ziara ya Ukaguzi, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wakwanza kushoto), akikagua majengo ya Jeshi la Magereza akiwa pamoja na baadhi
ya Maafisa wa Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wakwanza kushoto), akiwasili katika Majengo mapya ya nyumba za Askari Magereza pamoja na Kiwanda cha Ukonga, alipofanya Ziara ya Ukaguzi katika eneo hilo, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wapili kushoto), akikagua Ujenzi wa nyumba za Askari Polisi Mradi wa Dar City Mikocheni
pamoja na Kituo cha Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam.