Home Mchanganyiko Dkt Kamishna Mussa Ali Mussa afungua kikao cha kujadili uhalifu unaovuka mipaka.

Dkt Kamishna Mussa Ali Mussa afungua kikao cha kujadili uhalifu unaovuka mipaka.

0

Kamishna wa Ushirikishwaji wa Jamii Dkt, CP Mussa Ali Mussa (katikati) akiingia katika ukumbi wa Hotel ya Landmark Kunduchi Jijini Da es Salaam alipokwenda
kufungua mkutano wa kujadili na kupanga mikakati ya kuzuia makosa yanayovuka mipaka. Mkutano huo umeshirikisha nchi wanachama 16 kutoka shirikisho la
Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika ( EAPCCO). Kulia ni Mkuu wa ofisi za Interpol Mashariki mwa Afrika, Gedion Kimilu. Kushoto ni Mratibu wa Mafunzo wa Chuo cha Masomo ya Usalama Afrika kilichopo Afrika ya Kusini, Willem Els. (PICHA NA JESHI LA POLISI)