Home Michezo YANGA YAZIDI KUPOTEA MBIO ZA UBINGWA,YASHINDWA KUNG’ARA UGENINI DHIDI YA POLISI TANZANIA

YANGA YAZIDI KUPOTEA MBIO ZA UBINGWA,YASHINDWA KUNG’ARA UGENINI DHIDI YA POLISI TANZANIA

0

Mabingwa wa Kihistoria Tanzania bara timu ya Yanga imeshindwa kutamba ugenini mara baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji Polisi Tanzania mchezo uliopigwa katika uwanja wa Ushirika Mjini Moshi.

Yanga walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa mshambuliaji wao Seif Taqiq dakika ya 41 akimalizia mpira uliokuwa unazangaa kwenye lango la wenyeji.

Kipindi cha pili wenyeji walipata bao kupitia kwa Sixtus Sabilo dakika ya 71 hadi mpira unamalizika timu zote zimegawana alama.

Kwa matokeo hayo Yanga imeweka rekodi ya kutoka sare mechi tatu mfululizo msimu huu na matokeo mengine ni: