Mshambuliaji Anthony Martial (kushoto) akipongezana na Harry Maguire baada ya wote kufunga kwenye ushindi wa 2-0 wa Manchester United dhidi ya wenyeji, Chelsea leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. ) Anthony Martial alifunga la kwanza dakika ya 45 na Maguire akafunga la pili dakika ya 66 na kwa ushindi huo United inafikisha pointi 35 katike mchezo wa 25. Refa Anthony Taylor alitumia msaada wa VAR kukataa penalti mbili za Man United PICHA ZAIDI SOMA HAPA