Mtoto amepotea toka siku ya Jumapili tarehe 8.02.2020 alienda kusali . Hakurudi nyumbani Hadi Leo jumatano tarehe 12.02.2020 ,Jitihada zilishafanyika lakini hakuweza kupatikana Tunaomba msaada wenu ndugu , Jamaa na marafiki ili aweze kupatikana anaishi wilaya ya chato (chato mjini) Mkoa wa Geita Jina la mtoto anaitwa Aniseta Jonas Jina la Baba mzazi Jonas itanisa , Jina la Mama Stella Laurian wote wanaishi chato kwa atakae muona mtoto huyu awasiliane na wazazi wake kwa mawasiliano no. Baba 0763771059 Mama 0765476678