Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiweka udongo kuunganisha tofali kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Tanguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,hafla iliyofanyika leo na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali wa Kitaifa,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Tanguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, katika hafla iliyofanyika leo (kulia) Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu na (kushoto) Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Khamis Juma Maalim
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Wananchi na Viongozi mbali mbali katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Tanguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, katika hafla iliyofanyika leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mshauri Mwelekezi wa Kampuni ya (HABCONSULT LTD) Habib S.Nuhu Inayosimamia Ujenzi wakati alipokua akiangalia ramani ya ujenzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Tanguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa uwekaji rasmi jiwe la msingi ujenzi huo hafla iliyofanyika leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Khamis Juma Maalim (kushoto) na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu (kulia) wakijipongeza mara baada ya kufungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Tanguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, katika hafla iliyofanyika leo
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Idara ya Mahkama na Wafanyakazi wa kampuni ya Ujenzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Tanguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,wakiwa katika hafla uwekaji wa jiwe la msingi jengo hilo uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) uliofanyika leo
Viongozi mbali mbali wa Idara ya Mahkama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza na Viongozi na Wananchi mbali mbali wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi Ujenzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Tanguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja uliofanyika leo
Wananchi mbali mbali wakiwa katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Ujenzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Tanguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja uliofanywa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza na Viongozi na Wananchi hao waliohudhuria katika hafla iliyofanyika leo
Vijana na Chama cha Mapinduzi wakihamasisha wakati wa Sherehe za Uwekaji wa jiwe la msingi Jengo jipya la Mahakama Kuu ya Zanzibar uliofanywa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Jengo jipya la Mahkama Kuu ya Zanzibar linalojengwa na Kampuni ya ADVENT CONSTRUCTION LTD Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja lililowekwa jiwe la msingi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein leo,[Picha na Ikulu