Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu (kushoto), akishikana mikono na Afisa Mauzo wa Benki ya NBC, Dodoma, Zachalia Lema wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni ya upandaji miti iliyopewa jina la Kijanisha Dodoma uliofanyika mkoani humo kwa udhamini wa Benki ya NBC hivi karibuni.