Afisa Uhifadhi wa Kitengo cha Utalii Hifadhi ya Taifa ya Saadan Prisca Lyimo akielezea mikakati waliokuwa nayo |
Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Saadani Martina Ngulei akizungumza kuhusu namna walivyonufaika na uwepo wa hifadhi hiyo |
Afisa Utalii wa Hifadhi ya Taifa ya Saadan Athuman Mbae katikati akiwa na wageni kutoka mataifa mbalimbali waliotembelea hifadhi hiyo |
Sehemu ya wageni wakifurahia utalii ndani ya hifadhi ya Taifa ya Saadan |
Aina ya malazi yanayopatikana kwenye hifadhi ya Taifa ya Saadan kwa wageni wanaofika kutembelea vivutio mbalimbali |
Mamba akiwa pembezoni mto Wami akiota jua kama alivyokutwa ambapo jamii ya Mamba wanapatikana pia kwenye hifadhi hiyo |
Wanyama aina ya Viboko wakiwa kwenye maji ndani ya Mto Wami ambao umepita kwenye hifadhi hiyo ya Taifa ya Saadan kama wanavyoonekana
Kundi la Wanyama aina ya Swala wakiwa ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Saadan
Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:”Table Normal”;
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
mso-style-qformat:yes;
mso-style-parent:””;
mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;
mso-para-margin-top:0in;
mso-para-margin-right:0in;
mso-para-margin-bottom:10.0pt;
mso-para-margin-left:0in;
line-height:115%;
mso-pagination:widow-orphan;
font-size:11.0pt;
font-family:”Calibri”,”sans-serif”;
mso-ascii-font-family:Calibri;
mso-ascii-theme-font:minor-latin;
mso-hansi-font-family:Calibri;
mso-hansi-theme-font:minor-latin;
mso-bidi-font-family:”Times New Roman”;
mso-bidi-theme-font:minor-bidi;}
Wanyama aina ya Pundamilia wakiwa ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Saadan
Aina ya Makundi ya Ndege ambayo yamejenga kiota kwenye hifadhi ya Taifa ya Saadan ndani ya Mto Wami ambapo ndege hao huishi pamoja ambao huishi hapo kwa ajili ya kuijepusha na maadui zao
Wanyama aina ya Pundamilia wakiwa ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Saadan
Wanyama aina ya Twiga wakiwa ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Saadan
Wanyama aina ya Ngiri wakila majani ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Saadan
Mnyama Ngiri akiwa anakula majani karibu na bahari ya hindi kwenye Hifadhi ya Taifa ya Saadan
Ndege aina ya Fundi Chuma akiwa ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Saadan
Mtalii akifurahia upepo wa bahari ndani ya Taifa ya Saadan
Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:”Table Normal”;
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
mso-style-qformat:yes;
mso-style-parent:””;
mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;
mso-para-margin-top:0in;
mso-para-margin-right:0in;
mso-para-margin-bottom:10.0pt;
mso-para-margin-left:0in;
line-height:115%;
mso-pagination:widow-orphan;
font-size:11.0pt;
font-family:”Calibri”,”sans-serif”;
mso-ascii-font-family:Calibri;
mso-ascii-theme-font:minor-latin;
mso-hansi-font-family:Calibri;
mso-hansi-theme-font:minor-latin;
mso-bidi-font-family:”Times New Roman”;
mso-bidi-theme-font:minor-bidi;}
ya Taifa ya Saadani imetumia kiasi zaidi ya sh Bil 1.1 kwa ajili ya miradi ya
maendeleo kwenye vijiji 11 Kati ya 16 vinavyozunguka hifadhi hiyo kupitia
mpango wa ujirani mwema.
yalisemwa na Afisa utalii wa hifadhi hiyo Athuman Mbae wakati akizungumza na
waandishi wa habari walipotembelea hifadhi hiyo hivi karibuni kujionea shughuli
za utalii.
kuwa jumla ya miradi 23 iliyoko kwenye sekta za Afya, Elimu, Maji na Mazingira
imeweza kufadhiliwa na hifadhi hiyo kwa kushirikiana na wananchi.