Home Michezo JESUS APIGA MBILI MANCHESTER CITY YAICHAPA 4-0 FULHAM KOMBE LA FA

JESUS APIGA MBILI MANCHESTER CITY YAICHAPA 4-0 FULHAM KOMBE LA FA

0

Gabriel Jesus akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kufunga mabao mawili dakika za 72 na 75 kufuatia Ilky Gundogan kufunga la kwanza kwa penalti dakika ya nane na Bernardo Silva la pili dakika ya dakika ya 19 katika ushindi wa 4-0 wa Manchester City dhidi ya Fulham kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England leo Uwanja wa EtihadĀ PICHA ZAIDI SOMA HAPA