Gabriel Jesus akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kufunga mabao mawili dakika za 72 na 75 kufuatia Ilky Gundogan kufunga la kwanza kwa penalti dakika ya nane na Bernardo Silva la pili dakika ya dakika ya 19 katika ushindi wa 4-0 wa Manchester City dhidi ya Fulham kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England leo Uwanja wa EtihadĀ PICHA ZAIDI SOMA HAPA
JESUS APIGA MBILI MANCHESTER CITY YAICHAPA 4-0 FULHAM KOMBE LA FA
By Alex Sonna
January 27, 2020 | 4:04 am

Related Stories
View all
Michezo
1 hour ago
MOROCCO YAIWEKEA NGUMU BRAZIL KOMBE LA DUNIA
Morocco imeanza Fainali za Kombe la Dunia kibabe baada ya kuikalia kooni Brazil,ikilazimisha sare ya bao 1-1. Mara ya mwisho kwa Brazil kuanza kwa…
Michezo
2 hours ago
AUSTRALIA YAANZA KWA KISHINDO KOMBE LA DUNIA 2026, YAICHAPA UTURUKI 2-0
Timu ya Taifa ya Australia imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Uturuki katika mchezo wa hatua ya makundi wa Kombe la…
