Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wapokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kuhusu utekelezaji wa Bajeti ya Wizara hiyo kwa kipindi cha Julai-Disemba, 2019 Leo tarehe 20 Januari, 2020 katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas D. Ndumbaro (wa kwanza kulia), akiwa ameambatana na uongozi wa juu wa Wizara hiyo tayari kujibu hoja za kamati, leo Januari 2020 katika viwanja vya Bunge, Jijini Dodoma.