Home Michezo MESSI AIFUNGIA BAO PEKEE BARCELONA YAREJEA KILELENI LA LIGA

MESSI AIFUNGIA BAO PEKEE BARCELONA YAREJEA KILELENI LA LIGA

0

Lionel Messi (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Barcelona dakika ya 76 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Granada usiku wa jana Uwanja wa Nou Camp, hvyo kurejea kileleni La Liga PICHA ZAIDI SOMA HAPA