Home Mchanganyiko KIKAO CHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA...

KIKAO CHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

0

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (Kushoto), akisoma Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara hiyo katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika
Bungeni, Jijini Dodoma leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu. (Picha Na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (Kushoto), akisoma Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara hiyo katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika Bungeni, Jijini Dodoma leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu. (Picha Na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (Kushoto), akitoa maelekezo kwa baadhi ya Viongozi wa Vyombo vilivyomo ndani ya Wizara hiyo, kabla ya kuanza Kikao cha Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika Bungeni, Jijini Dodoma leo. (Picha Na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).