Home Mchanganyiko MATUKIO YA LEO MAHAKAMA MTANDAO JIJINI DAR ES SALAAM

MATUKIO YA LEO MAHAKAMA MTANDAO JIJINI DAR ES SALAAM

0

Baadhi ya watuhumiwa waliopo nje kwa dhamana wanaokabiliwa na shitaka la Uhujumu Uchumi (walio mstari wa nyuma) katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  cha Mahakama Mtandao, kilichopo katika Kituo cha Habari na Mafunzo , kwenye  mahakama hiyo, Jijini Dar es salaam wakifuatilia mashitaka yao. Walio mstari wa mbele ni wanasheria.

Baadhi ya wananchi waliofika katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam kutuatilia mashauri ya ndugu zao katika chumba cha Mahakama Mtandao.

Baadhi ya Wanasheria(walio mstari mbele) wakiwa katika chumba cha Mahakama Mtandao maarufu kama Video  Conference wakifuatilia mashauri katika chumba cha Mahakama Mtandao, kilichopo kwenye Kituo cha Habari na Mafunzo, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na Gereza la Keko Jijini Dar es salaam.