Home Biashara TBS IMETOA JUMLA YA LESENI 96 KATI YA LESENI 27 NI WAJASIRIAMALI...

TBS IMETOA JUMLA YA LESENI 96 KATI YA LESENI 27 NI WAJASIRIAMALI WADOGO NA LESENI 1 NI YA MFUMO

0

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania Dkt.Athuman Yussuf Ngenya akipewa maelezo juu ya bidhaa zilizozalishwa na wajasiriamali waliopata alama ya ubora mapema jana katika hafla ya utoaji vyeti iliyofanyika makao makuu ya TBS Ubungo.

*******************************

TBS imetoa jumla ya leseni 96 kati ya hizo leseni 27 ni wajasiriamali wadogo na leseni 1 ni ya mfumo. Leseni hizo ni majumuisho kwa kipindi cha mwezi oktoba mpaka Disemba mwaka 2019.