Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Mwalimu akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Barabara ya Kilomita 3.8 Donge Muwanda Wilaya ya Kaskazini B Unguja Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar. alie na Mtandio Mwekundu ni Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Dk, Sira Ubwa Mamboya.
Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Mwalimu katikati akifungua pazia katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Kilomita 3.8 Donge Muwanda Wilaya ya Kaskazini B Unguja Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar
Baadhi ya Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Kilomita 3.8 Donge Muwanda Wilaya ya Kaskazini B Unguja Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Dk, Sira Ubwa Mamboya.akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeno rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Kilomita 3.8 Donge Muwanda Wilaya ya Kaskazini B Unguja Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar
Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Barabara ya Kilomita 3.8 Donge Muwanda Wilaya ya Kaskazini B Unguja Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar .
Barabara ya kilomita 3.8 iliozinduliwa na Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Mwalimu Donge Muwanda Wilaya ya Kaskazini B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.