Nyota wa Manchester City, Gabriel Jesus akishangilia na wachezaji wenzake, Riyad Mahrez na Phil Foden baada ya kuifungia timu yake mabao mawili dakika za 51 na 59 ikiwalaza Everton 2-1 katka mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Bao pekee la Everton limefungwa na Richarlison dakika ya 71 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
JESUS APIGA ZOTE MBILI MANCHESTER CITY YAICHAPA 2-1 EVERTON
By Alex Sonna
January 2, 2020 | 8:30 am

Related Stories
View all
Michezo
12 hours ago
SIMBA SC YAICHAPA YANGA 2-1, YAONGOZA LIGI KUU
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga SC, katika mchezo wa Ligi Kuu…
Michezo
2 days ago
OLBALBAL MWAMBA WA LUSAKA RHINO CUP
Mashindano ya Rhino Cup yamefikia tamati leo tarehe 8 oktoba, 2026 kwa timu ya kata ya Olbalbal kuicharaza bila huruma jumla ya Goli 3-2…
