Home Michezo YANGA YAKAMILISHA USAJILI WA MSHAMBULIAJI KUTOKA IVORY COAST

YANGA YAKAMILISHA USAJILI WA MSHAMBULIAJI KUTOKA IVORY COAST

0

Klabu ya Yanga SC imekamilisha Usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Ivory Coast, Yikpe Gislain Gnamien kwa mkataba wa miaka miwili Kama mchezaji huru.

“Tayari ameshapewa kibali na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) na yupo kwenye hesabu za kuivaa Simba, Januari 4,2020,” ilieleza taarifa hiyo kutoka ndani.