![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/12/22773674-7835001-image-m-54_1577648773597.jpg)
Kevin De Bruyne akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 82 akitoka kumpasia Sergio Aguero kufunga la kwanza dakika ya 52 katika ushindi wa 2-0 dhdi ya Sheffield United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Etihad PICHA ZAIDI SOMA HAPA